Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema madola yanayoingilia masuala ya ndani ya nchi nyengine ni kikwazo kwa maendeleo na kujitawala nchi za eneo hili.
Habari ID: 1372874 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/09